Wapi napata mikopo mikubwa bila riba?

Wapi napata mikopo mikubwa bila riba?

Riba iko in monetary terms.

Faida ya Islamic banking iko kwenye terms zipi?
Mambo ya islamic banking yanatokea wapi. Mimi sipo huko kabisa.

Hapa kaa kwa utulivu na uwe na akili huru (hata kama katika makuzi yako umekuwa ukijua kuwa riba ni sawa na faida) kujifunza, technically, kuwa riba ni nini na faida ni nini.
 
Mbona unakwepa swali.

Riba iko in monetary terms, je hiyo faida inayokatwa na benki zinazofuata Sharia inakatwa kwenye terms zipi?

Money is a medium of exchange, hao PBZ au Amana hiyo faida wanaichukuaje. Mapera, matenga ya nyanya, grams za dhahabu, madebe ya mchele au nini?
 
Inabidi walimu wakazane sana kutufundishia vizuri watoto wetu huko mashuleni.

Hivi huwezi kuona hata kanuni tu za kutafuta riba na faida hazifanani hata kwa mbali.

Huku kwenye riba kuna kianzio, maana yake kinaweza kuwa kitu chochote, mathalan, kama kianzio ni gram za dhahabu basi riba lazima iwe gram za dhahabu, kama kianzio ni pesa basi riba lazima iwe pesa, kama kianzio ni magunia ya mchele basi riba lazima yawe magunia ya mchele, n.k. yaani vitu vinavyofanana.

Na huku kwenye faida kuna buying price na selling price (bei ya kununulia na bei ya kuuzia) ya bidhaa fulani, maana yake hapo pesa vs bidhaa, yaani vitu viwili tofauti.

Mjifunze kwanza kutafsiri formula ndio mtaelewa the concept behind them. Sio kwa kuwa tu zote zinaweza kubadilishwa ina monetary terms basi machoni mwenu mkaoni ni kitu kimoja.

Sasa hizo benki ulizotaja zinafanya hii ya kupata faida. Wanakuuzia bidhaa in advance na wewe unawapa (wanakukata pesa) pesa mdogo mdogo.
 
Benki inaniuzia bidhaa kwani yenyewe imesajiriwa kama trading company au financial service provider. Mimi nataka kununua mahindi tani 50 nimekuja kukopa, benki na biashara ya mahindi wapi na wapi mpaka waniuzie.

Na kama nataka investment ambayo sio bidhaa bali service provision. Nafungua mgahawa naenda hiyo bank observing Sharia, wananinunulia vyakula na kunikodia premises za mgahawa?

Na kwa majibu yako, bado haujasema faida wanaichukua vipi. Kama wananikopesha labda 10M, kisha wanakata kidogo kidogo na hawachukui riba si inatakiwa wakate hadi 10M ifike. Au wanazidisha kiwango ndio iwe faida (technically ni riba).

Very confusing
 
Nilidhani una idea japo kidogo ndio maana nkasema wanakuuzia.
Unataka gunia 10 za mahindi, wanakupigia gharama za hizo gunia, wanakulipia kwa supplier unaenda kuchukua gunia zako 10 kwa gharama mlizokubaliana.

Sasa wao (banks) na supplier walichokubaliana wewe hakikuhusu. Na hapo ndio faida inapopatikana.
 
Alichokielezea SUKAH ni sahihi. Yaani wewe unasema nataka kitu fulani. Wao unawapelekea invoice ya matumizi then wanalipa pesa kule unapotaka kuchukua hiyo bidhaa (so mkopo hawakupi wewe) then wewe utaenda kuchukua bidhaa husika na utawalipa kwa faida. Say ni kitu cha milioni 10, wewe utarejesha 10.5M. yaani wao wanakuuzia kwa faida.

Kwa uzoefu wangu, ni utaratibu mzuri sema nahisi hauko practical kwa baadhi ya scenario ila hiyo faida/riba ni kidunchu sana huwezi kuumia
 
Umenipa maelezo mazuri mkuu SUKAH ulikuwa unajua ila unakwepa kunyoosha maelezo.

Kama nawapa invoice na terms nafanya mimi hapo sawa. Ila bado hiyo faida nitakayowapa ni monetary terms ambayo ni kama riba stahimilivu. Ni utaratibu mgumu sana. Je ambao sio Waislamu wanaweza kupokea huu mkopo?
 
Another scenario tofauti kidogo na mchangiaji hapo juu. Kwahiyo benki ndio wanafanya negotiations ya manunuzi kumbe, basi mkopo wa hii benki ni kwa baadhi ya biashara. Lakini kama ingekuwa inatolewa kwa wingi naona ni mizuri sana. Tatizo wigo mdogo.
 
Nilivyoelewa ni hivi... Wao (Amana) wanakuwa wanafahamu kwamba kuna mtu au watu watahitaji kuuza mchele wakati wa Xmass lakini hawatakuwa na huo mchele wala pesa za kuuagiza huo mchele. Sasa wanaununua huo mchele kwa tshs 1800 kwa kila kilo muda huu....
Baada ya miezi 8 mteja wa mkopo anajitokeza wakati bei halisi ya mchele ni tshs 2300 kwa kilo moja. Sasa ukikopa hiyo tshs 2300 na ukarejesha hiyo hiyo 2300 maana yake benki watakuwa wamepata faida ya tshs 500
 
Umenipa maelezo mazuri mkuu SUKAH ulikuwa unajua ila unakwepa kunyoosha maelezo.

Kama nawapa invoice na terms nafanya mimi hapo sawa. Ila bado hiyo faida nitakayowapa ni monetary terms ambayo ni kama riba stahimilivu. Ni utaratibu mgumu sana. Je ambao sio Waislamu wanaweza kupokea huu mkopo?
Ndio wanakopa bila shida. Sema tu utafungua account husika watakayokuelekeza
 
Alichokielezea SUKAH ni sahihi. Yaani wewe unasema nataka kitu fulani. Wao unawapelekea invoice ya matumizi then wanalipa pesa kule unapotaka kuchukua hiyo bidhaa (so mkopo hawakupi wewe) then wewe utaenda kuchukua bidhaa husika na utawalipa kwa faida. Say ni kitu cha milioni 10, wewe utarejesha 10.5M. yaani wao wanakuuzia kwa faida.

Kwa uzoefu wangu, ni utaratibu mzuri sema nahisi hauko practical kwa baadhi ya scenario ila hiyo faida/riba ni kidunchu sana huwezi kuumia
Kitu ni kilekile ni yale yake yakubadilisha kodi kuiita tozo kwa sababu “double taxation” hairuhusiwi kisheria
 
Benki inaniuzia bidhaa kwani yenyewe imesajiriwa kama trading company au financial service provider. Mimi nataka kununua mahindi tani 50 nimekuja kukopa, benki na biashara ya mahindi wapi na wapi mpaka waniuzie.

Na kama nataka investment ambayo sio bidhaa bali service provision. Nafungua mgahawa naenda hiyo bank observing Sharia, wananinunulia vyakula na kunikodia premises za mgahawa?

Na kwa majibu yako, bado haujasema faida wanaichukua vipi. Kama wananikopesha labda 10M, kisha wanakata kidogo kidogo na hawachukui riba si inatakiwa wakate hadi 10M ifike. Au wanazidisha kiwango ndio iwe faida (technically ni riba).

Very confusing
Wewe ni Lecture au?
Yaani unavyojitahidi kufafanua hata mtoto wa chekechea angeelewa ila mtu mzima haelewi lakini huchoki kumuelimisha hongera kwa hekima mi sinaga subra kwa mpumbavu Kama huyo mvaa kobazi ningeshamtukana
 
Back
Top Bottom