Siku hizi Mambo yamebadilika, Mifumo mingi inasomana, ndiyo maana cheating siku hizi zimepungua sana, na kukamatwa nje nje!!Acheni unafiki jamani..haya mambo mnajifanya wagenii...ya kawaida tu haya
Kalaghabaho...kaa na watu vizuriSiku hizi Mambo yamebadilika, Mifumo mingi inasomana, ndiyo maana cheating siku hizi zimepungua sana, na kukamatwa nje nje!!
Sahih...km vyeti fekiTangu lini bank statement ikauzwa! Huoni hiki unachotaka kufanya hapa ni kitendo cha kihalifu?
Yaani unataka kuingia makubaliano na mfanyakazi wa benk ili abadilidhe jina la mtu mwenye akaunti yenye mzunguko mkubwa wa fedha, na kuweka jina lako ili ionekane hiyo akaunti ni ya kwako! Na hivyo kukusaidia kukopesheka, au kuanzisha taasisi kama shule, nk.
Huu ni uhujumu uchumi bila shaka.
Zamani ilikuwepo hio, unakuta akaunti haina transactions na salio la kutosha mtu anaongea na staff wa bank anakutengenezea uonekane ina turn over nzuri. Wengi wakizitumia kuombea visa ubalozini. Lkn baadae inaonekana embassy zikaufahamu mchezo wakawa wakipokea bank statements wanaziscan bank husika kuconfirm kwa manager. Ikigundulikana tu kama umecheat unawekwa kwenye Black list ndio imetoka hio no more safaris utaziskia kwa wenzio tuTumefanyaje dada?
Me sijawahi sikia kama watu wanaombana bank za statement aisee.
Ohh hapo nimekusoma vyema dear.Zamani ilikuwepo hio, unakuta akaunti haina transactions na salio la kutosha mtu anaongea na staff wa bank anakutengenezea uonekane ina turn over nzuri. Wengi wakizitumia kuombea visa ubalozini. Lkn baadae inaonekana embassy zikaufahamu mchezo wakawa wakipokea bank statements wanaziscan bank husika kuconfirm kwa manager. Ikigundulikana tu kama umecheat unawekwa kwenye Black list ndio imetoka hio no more safaris utaziskia kwa wenzio tu
DuhHawaombi..zinauzwa..
Hata ukikaa na watu vizuri,bado za mwizi ni 40 zinabaki pale pale!!Kalaghabaho...kaa na watu vizuri
Ukimpa mtu mwengine itakuwa haifai kwa matumizi yake mana itakuwa ina jina lako otherwise iwe legally umem sponsored/supportOhh hapo nimekusoma vyema dear.
Sasa mf mie mtu binafsi, nikimpa mtu mwingine inakuwaje?
"And all costs of her trip will be covered by DEPAL" asisahau pia kusema kipengele hicho!!Ukimpa mtu mwengine itakuwa haifai kwa matumizi yake mana itakuwa ina jina lako otherwise iwe legally umem sponsored/support
Depal status of her account is to sponsor her daughter Angel who wishes to travel to UK for....
Kumbe alitaka Bank Statement za mchongoo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Njoo pm ninayo inayoonyesha bank ina milioni 300 ila kukupa wewe niandalie milioni 1 cash itakuwa na jina lako au taasisi yako
Nahitaji mnielekeze kwa ambao wanauelewa au wanajua haya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua?
Got you dear, shukrani kwa ufafanuzi.Ukimpa mtu mwengine itakuwa haifai kwa matumizi yake mana itakuwa ina jina lako otherwise iwe legally umem sponsored/support
Depal status of her account is to sponsor her daughter Angel who wishes to travel to UK for....
Ya mchongo. Depal ana turn over nzuri kwenye akaunti yake, inaeditiwa linawekwa jina lake. Au ya kwake mwenyewe lkn inaeditiwa anawekewa transactions zenye amounts kubwa kubwa. Lkn lazim aongee na one of bank staff akikubali anampa chochote kitu. And that's it. Nafkiri hii tunaita forgeryGot you dear, shukrani kwa ufafanuzi.
Sasa huyu anatafuta ya kuuziwa ana maana ipi?
Hivi forgery ina dhamana ukikamatwa!!??Ya mchongo. Depal ana turn over nzuri kwenye akaunti yake, inaeditiwa linawekwa jina lake. Au ya kwake mwenyewe lkn inaeditiwa anawekewa transactions zenye amounts kubwa kubwa. Lkn lazim aongee na one of bank staff akikubali anampa chochote kitu. And that's it. Nafkiri hii tunaita forgery
Una uelewa mzuri lakini huelewi mpaka mwisho au huelewi vizuri.Zamani ilikuwepo hio, unakuta akaunti haina transactions na salio la kutosha mtu anaongea na staff wa bank anakutengenezea uonekane ina turn over nzuri. Wengi wakizitumia kuombea visa ubalozini. Lkn baadae inaonekana embassy zikaufahamu mchezo wakawa wakipokea bank statements wanaziscan bank husika kuconfirm kwa manager. Ikigundulikana tu kama umecheat unawekwa kwenye Black list ndio imetoka hio no more safaris utaziskia kwa wenzio tu
Mmoja kwa mia hutaki unafiki...👊Una uelewa mzuri lakini huelewi mpaka mwisho au huelewi vizuri.
Wenye mamlaka kisheria kufanya questions kwenye account ya mtu ni Polisi na mahakama tu, hao maofisa ubalozi wanachoweza kusaidiwa na bank ni conformation of account kama account ni genuine that's it.
Transaction za kibenki na amount available ambayo ni balance hiyo ni siri ya mteja na bank, usidanganywe na mtu yeyote.
Mazabe hayawezi kuishi mpaka mwisho wa dunia, hao wazungu Mimi nimeshafanya nao mafekeche kibao, hata CIA huwa wanafoji passport za nchi za ulaya kusafiria kwenye mission zao mbalimbali.
Kwa Mtanzania ukitaka kunyooka kwa kila jambo hutoboi hata interview ya kazi tu unaweza kupigwa chini ukijifanya eti wewe ni smart umenyooka asilimia 100.