Wapi naweza kupata Bank statement?

Wapi naweza kupata Bank statement?

Tangu lini bank statement ikauzwa! Huoni hiki unachotaka kufanya hapa ni kitendo cha kihalifu?

Yaani unataka kuingia makubaliano na mfanyakazi wa benk ili abadilidhe jina la mtu mwenye akaunti yenye mzunguko mkubwa wa fedha, na kuweka jina lako ili ionekane hiyo akaunti ni ya kwako! Na hivyo kukusaidia kukopesheka, au kuanzisha taasisi kama shule, nk.

Huu ni uhujumu uchumi bila shaka.
Sahih...km vyeti feki
 
Tumefanyaje dada?
Me sijawahi sikia kama watu wanaombana bank za statement aisee.
Zamani ilikuwepo hio, unakuta akaunti haina transactions na salio la kutosha mtu anaongea na staff wa bank anakutengenezea uonekane ina turn over nzuri. Wengi wakizitumia kuombea visa ubalozini. Lkn baadae inaonekana embassy zikaufahamu mchezo wakawa wakipokea bank statements wanaziscan bank husika kuconfirm kwa manager. Ikigundulikana tu kama umecheat unawekwa kwenye Black list ndio imetoka hio no more safaris utaziskia kwa wenzio tu
 
Ohh hapo nimekusoma vyema dear.

Sasa mf mie mtu binafsi, nikimpa mtu mwingine inakuwaje?
 
Ukimpa mtu mwengine itakuwa haifai kwa matumizi yake mana itakuwa ina jina lako otherwise iwe legally umem sponsored/support

Depal status of her account is to sponsor her daughter Angel who wishes to travel to UK for....
 
"And all costs of her trip will be covered by DEPAL" asisahau pia kusema kipengele hicho!!
 
Ukimpa mtu mwengine itakuwa haifai kwa matumizi yake mana itakuwa ina jina lako otherwise iwe legally umem sponsored/support

Depal status of her account is to sponsor her daughter Angel who wishes to travel to UK for....
Got you dear, shukrani kwa ufafanuzi.

Sasa huyu anatafuta ya kuuziwa ana maana ipi?
 
Ya mchongo. Depal ana turn over nzuri kwenye akaunti yake, inaeditiwa linawekwa jina lake. Au ya kwake mwenyewe lkn inaeditiwa anawekewa transactions zenye amounts kubwa kubwa. Lkn lazim aongee na one of bank staff akikubali anampa chochote kitu. And that's it. Nafkiri hii tunaita forgery
 
Hivi forgery ina dhamana ukikamatwa!!??
 
Kwenye kuomba Visa niliona watu wakifanya hivyo hasa Visa ya China. Ila wewe umekosea sana kujitokeza hadharani na kushirikisha watu nia yako ovu ya kufanya uhalifu. Kuna watu bado mna ujinga mwingi sana.
 
Zamani ilikuwepo hio, unakuta akaunti haina transactions na salio la kutosha mtu anaongea na staff wa bank anakutengenezea uonekane ina turn over nzuri. Wengi wakizitumia kuombea visa ubalozini. Lkn baadae inaonekana embassy zikaufahamu mchezo wakawa wakipokea bank statements wanaziscan bank husika kuconfirm kwa manager. Ikigundulikana tu kama umecheat unawekwa kwenye Black list ndio imetoka hio no more safaris utaziskia kwa wenzio tu
Una uelewa mzuri lakini huelewi mpaka mwisho au huelewi vizuri.

Wenye mamlaka kisheria kufanya questions kwenye account ya mtu ni Polisi na mahakama tu, hao maofisa ubalozi wanachoweza kusaidiwa na bank ni conformation of account kama account ni genuine that's it.

Transaction za kibenki na amount available ambayo ni balance hiyo ni siri ya mteja na bank, usidanganywe na mtu yeyote.

Mazabe hayawezi kuishi mpaka mwisho wa dunia, hao wazungu Mimi nimeshafanya nao mafekeche kibao, hata CIA huwa wanafoji passport za nchi za ulaya kusafiria kwenye mission zao mbalimbali.

Kwa Mtanzania ukitaka kunyooka kwa kila jambo hutoboi hata interview ya kazi tu unaweza kupigwa chini ukijifanya eti wewe ni smart umenyooka asilimia 100.
 
Mmoja kwa mia hutaki unafiki...👊
 
Back
Top Bottom