Una uelewa mzuri lakini huelewi mpaka mwisho au huelewi vizuri.
Wenye mamlaka kisheria kufanya questions kwenye account ya mtu ni Polisi na mahakama tu, hao maofisa ubalozi wanachoweza kusaidiwa na bank ni conformation of account kama account ni genuine that's it.
Transaction za kibenki na amount available ambayo ni balance hiyo ni siri ya mteja na bank, usidanganywe na mtu yeyote.
Mazabe hayawezi kuishi mpaka mwisho wa dunia, hao wazungu Mimi nimeshafanya nao mafekeche kibao, hata CIA huwa wanafoji passport za nchi za ulaya kusafiria kwenye mission zao mbalimbali.
Kwa Mtanzania ukitaka kunyooka kwa kila jambo hutoboi hata interview ya kazi tu unaweza kupigwa chini ukijifanya eti wewe ni smart umenyooka asilimia 100.