Wapi naweza kupata eneo zuri la kujenga jijini Dar Es Salaam?

Wapi naweza kupata eneo zuri la kujenga jijini Dar Es Salaam?

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Habari za mda huu natafuta Kiwanja Dar maeneo mazuri yaliyotulia kwa ambae anacho naomba tuwasiliane bajeti yangu 10M hili jambo lipo serious na tunaweza kufanya biashara

Hata leo hii nawakaribisha maoni yenu ni wapi pazuri kujenga Kwa Dar es Salaam hata kwa Kibaha itakuwa poa naomba mnitajie na bei kabisa
 
Habari za mda huu natafuta Kiwanja Dar maeneo mazuri yaliyotulia kwa ambae anacho naomba tuwasiliane hili jambo lipo serious na tunaweza kufanya biashara

Hata leo hii nawakaribisha maoni yenu ni wapi pazuri kujenga Kwa Dar es Salaam hata kwa Kibaha itakuwa poa naomba mnitajie na bei kabisa
Kibaha Mpiji karibu na shule ya msingi Muheza kwenye barabara kwa kipimo cha mita 20*20 = Milion 5 vipo 26 eneo moja, kwa maelezo zaidi 0789 149 581
 
Mnunuzi kweli anavyojua Dar ilivyo kubwa anataka kiwanja tu, hata bei ajaweka, haya Mimi ninacho Karibu na residence ya Tibaigana Mbweni nauza : Tsh: 95m, upo wapi ukakague documents?
 
Habari za mda huu natafuta Kiwanja Dar maeneo mazuri yaliyotulia kwa ambae anacho naomba tuwasiliane hili jambo lipo serious na tunaweza kufanya biashara

Hata leo hii nawakaribisha maoni yenu ni wapi pazuri kujenga Kwa Dar es Salaam hata kwa Kibaha itakuwa poa naomba mnitajie na bei kabisa
Bila kuweka wazi bajeti yako unatuchora tu mkuu
 
Na mimi natafuta, barabara ya Morogoro. Bei isizidi Milioni 10
Kuna eneo lipo kisemvule Lina msingi wa nyumba ya sitting room, kitchen, vyumba viwili, kimoja ni master room pamoja na public toilet

Eneo lipo karibu na barabara na huduma za kijamii zipo

Bei million 10.5

Mawasiliano 0748270719
 
Kwa Pesa hiyo Kigamboni unapata,Aidha ndani ya Kilometa 25 Eneo dogo au Zaidi ya Kilometa 25 toka Feri angalau 600 SQM.Pia Chanika,Pugu.Cha Mhimu Zingatia Barabara za Msingi:Morogoro road Hadi Kibamba.Vinginevyo Kibaha unapata ndani ya Kilometa 3 toka Barabara Kuu.Barabara ya Bagamoyo Kwa bei hiyo labda Mpakani na Bagamoyo au kuelekea Mabwepande.
 
Back
Top Bottom