Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Njoo mbondole, kivule, mvuti,dondwe, msongola,kitonga, mwanadilatu, tambani, rufu,mti mtemvu. E.t.c maeneo yapo sanaaHabari za mda huu natafuta Kiwanja Dar maeneo mazuri yaliyotulia kwa ambae anacho naomba tuwasiliane bajeti yangu 10M hili jambo lipo serious na tunaweza kufanya biashara
Hata leo hii nawakaribisha maoni yenu ni wapi pazuri kujenga Kwa Dar es Salaam hata kwa Kibaha itakuwa poa naomba mnitajie na bei kabisa