Wapi naweza kupata eneo zuri la kujenga jijini Dar Es Salaam?

Njoo mbondole, kivule, mvuti,dondwe, msongola,kitonga, mwanadilatu, tambani, rufu,mti mtemvu. E.t.c maeneo yapo sanaa
 
Je viko n HATI YA WIZARANI?
Kibaha Mpiji karibu na shule ya msingi Muheza kwenye barabara kwa kipimo cha mita 20*20 = Milion 5 vipo 26 eneo moja, kwa maelezo zaidi 0789 149 581
 
Kuna eneo lipo kisemvule Lina msingi wa nyumba ya sitting room, kitchen, vyumba viwili, kimoja ni master room pamoja na public toilet

Eneo lipo karibu na barabara na huduma za kijamii zipo

Bei million 10.5

Mawasiliano 0748270719
Kisemvule ni wapi? Ni Barabara ya morogoro kweli? Ninayoijua mimi ipo huko Mkuranga - Kimanzichana huko Barbara ya Mtwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…