Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti akale mbaraga tu mbeya mambo ya piza tena ni MTU na mkwe wake
we nawe ni mwanachama kumbe wa pizza!bora ugali dagaa kuliko pizaπ π ila vinataste utamuπππ
Ipo mkuuama aende Savoi..sijui kama bado papo
Asukumizie na beer...
Nenda Soweto, kituo cha daladala cha Mabuchani. Sh 2000Wakuu wa wakuu;
Wapi naweza kupata pizza kwa mbeya mjini hapa.
Na Bei je inaanzia shingapi
Maana naishia kuziona tuu kwenye picha
Sasa wacha nionje na Mimi.
we nawe ni mwanachama kumbe wa pizza!bora ugali dagaa kuliko piza
Au nenda Mzumbe chuoni, old Forest, sh 2000 au , not sure saana coz mi huwa napata sowetoWakuu wa wakuu;
Wapi naweza kupata pizza kwa mbeya mjini hapa.
Na Bei je inaanzia shingapi
Maana naishia kuziona tuu kwenye picha
Sasa wacha nionje na Mimi.
Au pale mjini kati opposite na Anglican Church, kituo kinaitwa BP utazipataWakuu wa wakuu;
Wapi naweza kupata pizza kwa mbeya mjini hapa.
Na Bei je inaanzia shingapi
Maana naishia kuziona tuu kwenye picha
Sasa wacha nionje na Mimi.
Pia nasikia pale Royal Oven , opposite na youth center zipo piaWakuu wa wakuu;
Wapi naweza kupata pizza kwa mbeya mjini hapa.
Na Bei je inaanzia shingapi
Maana naishia kuziona tuu kwenye picha
Sasa wacha nionje na Mimi.
hahahhaha!!sema dah mnajitahidi sana kila ukila nyama!ndo mana umekuwa chibongeNadhan nnakaribia mwaka...hhahaa..tena upate ya beefπππ
hahahhaha!!sema dah mnajitahidi sana kila ukila nyama!ndo mana umekuwa chibonge
Acha wee wanakyusa kuna kitu wanaita mbaraga wee sio poa mindizi kama yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha wee wanakyusa kuna kitu wanaita mbaraga wee sio poa mindizi kama yote
Mbeya na Pizza wapi na wapi? Nenda Vamponji kale kitimoto na ndizi
Au pale mjini kati opposite na Anglican Church, kituo kinaitwa BP utazipata
Mkuu are you nyakyusa nini?Nafahamu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ktk vyakula ambavyo havina ladha na sivipendi ni pizza, na sjui watu wanavipenda nn, bora ata chips kavu