Wapi naweza kupata pizza kwa Mbeya mjini

Wapi naweza kupata pizza kwa Mbeya mjini

Wakuu wa wakuu;

Wapi naweza kupata pizza kwa mbeya mjini hapa.
Na Bei je inaanzia shingapi
Maana naishia kuziona tuu kwenye picha
Sasa wacha nionje na Mimi.
Nenda Soweto, kituo cha daladala cha Mabuchani. Sh 2000
 
Wakuu wa wakuu;

Wapi naweza kupata pizza kwa mbeya mjini hapa.
Na Bei je inaanzia shingapi
Maana naishia kuziona tuu kwenye picha
Sasa wacha nionje na Mimi.
Au nenda Mzumbe chuoni, old Forest, sh 2000 au , not sure saana coz mi huwa napata soweto
 
Wakuu wa wakuu;

Wapi naweza kupata pizza kwa mbeya mjini hapa.
Na Bei je inaanzia shingapi
Maana naishia kuziona tuu kwenye picha
Sasa wacha nionje na Mimi.
Au pale mjini kati opposite na Anglican Church, kituo kinaitwa BP utazipata
 
Wakuu wa wakuu;

Wapi naweza kupata pizza kwa mbeya mjini hapa.
Na Bei je inaanzia shingapi
Maana naishia kuziona tuu kwenye picha
Sasa wacha nionje na Mimi.
Pia nasikia pale Royal Oven , opposite na youth center zipo pia
 
hahahhaha!!sema dah mnajitahidi sana kila ukila nyama!ndo mana umekuwa chibonge


hhahahaha...ss hv nimebadili mazingira...sipati chai nayoitaka
..so asbh saa2 unusu nakula ugali mbuzi au ugali samaki...yaan hyo ni daily .alafu nishazoea kbs...ila mchana napiga deshi..jion nakula fruits...lakini nashangaa nanenepa๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข..kuna mazingira kunywa chai na chapati unapoteza muda wako.kazi kazi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbeya na Pizza wapi na wapi? Nenda Vamponji kale kitimoto na ndizi
 
Nenda Hill View Hotel au Desderia Hotel zote zipo Uzunguni
 
Back
Top Bottom