Wapi naweza kupata pizza kwa Mbeya mjini

Mbeya na pizza wapi na wapi, ila kwa msaada nenda upaimiwe lumbesa ya chips kule IKUTI karibu na Mbeya university (MUST) bila kusahau kitimoto na mihogo ya kyela mixer na mawese.
 
Aisee karibu basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…