Lets Share
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 517
- 718
πππJinsia pls?π
Umeona nini kwenye profile yangu mkuu??Imenibidi nikazoom profile yako mkazi mwenzangu wa Mbeya [emoji4][emoji4]
Hapana sijakulia hukoNa wewe umekulia Kyela mkuu?
Savoi wahudumu wote wana matumbo makubwa ila kuna kitimoto pale na ugali safiama aende Savoi..sijui kama bado papo
Asukumizie na beer...
Oohh vizuriHapana sijakulia huko
Napafahamu nlisoma mbeya
Aisee umesomea huko huko Kyela au Mbeya mjini au wilaya gani?
Maswali yake kama Zuhura Yunusu vs Kabudi[emoji23]Imenibidi nikazoom profile yako mkazi mwenzangu wa Mbeya [emoji4][emoji4]
Anha sawaSongwe shost...
Maswali yepi hayo? Nitue.Maswali yake kama Zuhura Yunusu vs Kabudi[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maswali yepi hayo? Nitue.