Wapi naweza kupata pizza kwa Mbeya mjini

Wapi naweza kupata pizza kwa Mbeya mjini

Hii inafanana na wakenya kujivunia kiingereza, wengine wanataka Mbeya kuwe na pizza na kama haipo basi ni mji wa kishamba. Uafrika huu...
 
[emoji3][emoji3] Uzi huu ulikua na lengo la kupata pizza ila majibu nloyakuta humu [emoji33][emoji33]
 
Mbele ya ujenzi kama unaenda mjini/Sokomatola..katisha njia inayopita nyuma ya Sokoine stadium inayoenda Uhindini..
Unavokata kona tu utaona Restaurant...
Shukrani Sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23]..waha siwawez jamani
Hapa je

IMG_20190704_153331_8.jpeg
 
Mbeya hakuwez kuwa na pizza kiongoz usijiangaishe kabisa.hahah
 
Back
Top Bottom