Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Hahaha aiseeJamani sipend kitu kinaitwa maharage mm[emoji21][emoji21]..naona km nimeyala sana kwa chief cooker phss[emoji21][emoji21]
Alafu kaugali.kaduuchu..pia mtindi mie sipendelei..sikumbuki kunywa lini eti...udogoni asbh nilikua nakunywa mtindi mchana na usk..ss hb ht kijiko ki1 sipendi
Pandahill[emoji3526]Songwe shost...
Nimeingia janaYes mamaa na wewe upo huku nini?
Hahahaha aisee [emoji28]Nimependa kwel shati lako[emoji38]
Oohh kwa muda au ndo nyumbani??Nimeingia jana
ughonile!!! inaelekea umekula sana!Acha wee wanakyusa kuna kitu wanaita mbaraga wee sio poa mindizi kama yote
Ni nyumbaniOohh kwa muda au ndo nyumbani??
hahaaahaa yeah I can't!Seems you can't afford it unatumia hicho kisingizio [emoji1][emoji1](joking)
ratiba yako nimeikubali....hongera!!!hhahahaha...ss hv nimebadili mazingira...sipati chai nayoitaka
..so asbh saa2 unusu nakula ugali mbuzi au ugali samaki...yaan hyo ni daily .alafu nishazoea kbs...ila mchana napiga deshi..jion nakula fruits...lakini nashangaa nanenepa😢😢..kuna mazingira kunywa chai na chapati unapoteza muda wako.kazi kazi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] vamponjiMbeya na Pizza wapi na wapi? Nenda Vamponji kale kitimoto na ndizi
Tangu lini mtu umezaliwa na kukulia kwenye ugali ukapata radha ya pizza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]?(just joking)
[emoji28][emoji28][emoji28]..mie nilichoshindwa prawns jaman..chefuu
[emoji1654] Prawns watam sana sana sana, ukiwakaanga duh dadeki, huku niliko mm ni ghali sana, alaf si rahisi kupata kama wa kwetu yaani fresh, sana sana utapata waliokaa kwenye mafiji muda mrefu, so unapowapika wanakua hawana ladha kama wakwetu