Wapi naweza kupata spare part hii ya pellet machine ya chakula cha kuku kwa kuchonga au kukunua

Wapi naweza kupata spare part hii ya pellet machine ya chakula cha kuku kwa kuchonga au kukunua

Afisa Mteule Drj 2

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
3,961
Reaction score
4,663
Wakuu nahitaji muongozo wenu wapi ninapoweza kununua au kuchonga spare part hii ya mashine ya kutengeneza chakula cha kuku cha punje(pellets),nataka disk yenye matundu madogo pungufu ya 3mm,nimejaribu sehemu mbalimbali wanashindwa hii kazi pakiwemo kwenye ile taasisi fulani kubwa ya serikali ya kuudumia viwanda vidogo,nimeshangazwa mno.

Spare part yenyewe ni kama hii hapa chini
81YFBJyu31L._AC_UF894,1000_QL80_FMwebp_.webp
 
Njoo pm nikupe namba ya jamaa anachonga hizo yupo Tabata
 
Back
Top Bottom