Wapi naweza pata mtaji wa kuanzisha BAR

Wapi naweza pata mtaji wa kuanzisha BAR

Me1986

Senior Member
Joined
Mar 1, 2025
Posts
101
Reaction score
92
Katika viwanda 30,000 bilivyojengwa mie na familia yangu hatuna hata kimoja.!?

Kwa sababu uanzishwaji wa viwanda ni jukumu la private sector na kila mmoja wetu hata mie NIMO..

Wapi naweza pata mtaji nianzishe BAR niwapunguzie watu mawazo kama jukumu la bia lilivyo...
 
Katika vitu ambavyo usije kufanya kama biashara ya bar.
Itakufanya kupenda ushirikina mkubwa na dhambi nyingi ambazo uzeeni zitakutesa.

Na pili biashara ya bar ni kama mchezaji mpira msimu wako ukipita ni ngumu kurudi. Ni wachache sana waliweza kusimama mda mrefu.
 
Basi wewe subiri Viwanda chako utakacho anzisha tutakihesabu kikifika 40,000... Usisahau mkuu ukifungua kiwanda Mhe Rais aje kukizindua
 
Sijui kama anafahamu BAR zilizovuma na kufa.
Kuna bar ilitamba mwenge katalunya,bar zilizotamba sinza,kinondoni na kwengine muulize ziko wapi?.
Walevi wana katabia kakufuata vitu vipya na maeneo mapya afungue ila asikae na wahudumu zaidi ya mwezi abadilishe badilishe tena alete visu haswa atadumu kwenye game kidogo.
 
Katika vitu ambavyo usije kufanya kama biashara ya bar.
Itakufanya kupenda ushirikina mkubwa na dhambi nyingi ambazo uzeeni zitakutesa.

Na pili biashara ya bar ni kama mchezaji mpira msimu wako ukipita ni ngumu kurudi. Ni wachache sana waliweza kusimama mda mrefu.
Hao wachache na yeye atakuwa ni mmoja wapo..

Braza Me1986 Tembea mbeleeeeee

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom