Wapi naweza pata mtaji wa kuanzisha BAR

Wapi naweza pata mtaji wa kuanzisha BAR

Katika vitu ambavyo usije kufanya kama biashara ya bar.
Itakufanya kupenda ushirikina mkubwa na dhambi nyingi ambazo uzeeni zitakutesa.

Na pili biashara ya bar ni kama mchezaji mpira msimu wako ukipita ni ngumu kurudi. Ni wachache sana waliweza kusimama mda mrefu.
Napita na comment hii hapa.....Hatujakukataza ila si sehemu nzuri kwa afya yako
 
Ivi bar nayo ni kiwanda ?. Anyway kuhusu mtaji, njia ya kuupata unaweza kukopa,kuomba Kwa mtu wa Karibuni, kutoa kwenye mshara kama umeajiriwa, kufanya kazi za nguvu(vibarua) kusave mdogo mdogo au kuuza kitu chako cha thamani.

Sio lazima uanzie pakubwa biashara ni hatua kama hela ndogo fungua hata grocery. Hata Bakharesa ashawahi kuuza uduvi.
 
Mkuu unafail wapi wakati ukiwa na cherehani 4 tayari tuliambiwa ni kiwanda. Ukifungua mashine ya kusaga na kukoboa mahindi ni kiwanda.
Daaa ninakupa hela ya kula na kunywa unatumia kwenye kujenga... Basi kafe na Njaa alisikia akisema😂😂😂😂
 
Ivi bar nayo ni kiwanda ?. Anyway kuhusu mtaji, njia ya kuupata unaweza kukopa,kuomba Kwa mtu wa Karibuni, kutoa kwenye mshara kama umeajiriwa, kufanya kazi za nguvu(vibarua) kusave mdogo mdogo au kuuza kitu chako cha thamani.

Sio lazima uanzie pakubwa biashara ni hatua kama hela ndogo fungua hata grocery. Hata Bakharesa ashawahi kuuza uduvi.
Hata hii nimekupa hela ya kula na kunywa tumaji wewe unatumia kujenga Grocery... Ona sasa ulivyokuwa mhenga kila litu uwekeze mwenyewe
 
Na wewe unawaza tanzania kuna viwanda au viwanda vya chawa na ccm.
Viwanda bila siasa haviendi😂😂😂M23 wana mbinu ya kuhakikisha hununui bidhaa ya mtu
 
Back
Top Bottom