Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Kuna watu na bahati zao,yaan bar unakuta ina miaka zaidi ya 10 na kila jioni kuna nyomiKatika vitu ambavyo usije kufanya kama biashara ya bar.
Itakufanya kupenda ushirikina mkubwa na dhambi nyingi ambazo uzeeni zitakutesa.
Na pili biashara ya bar ni kama mchezaji mpira msimu wako ukipita ni ngumu kurudi. Ni wachache sana waliweza kusimama mda mrefu.