Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Kuna watu na bahati zao,yaan bar unakuta ina miaka zaidi ya 10 na kila jioni kuna nyomiKatika vitu ambavyo usije kufanya kama biashara ya bar.
Itakufanya kupenda ushirikina mkubwa na dhambi nyingi ambazo uzeeni zitakutesa.
Na pili biashara ya bar ni kama mchezaji mpira msimu wako ukipita ni ngumu kurudi. Ni wachache sana waliweza kusimama mda mrefu.
Sio bahati nimekueleza bar inataka nini kuna mambo lazima ukubari kuyafanya.Kuna watu na bahati zao,yaan bar unakuta ina miaka zaidi ya 10 na kila jioni kuna nyomi
Usichokijua ni kama usiku wa kiza ! Hakuna biashara inayolipa kama pombe ! Ngoja niishie hapaKatika vitu ambavyo usije kufanya kama biashara ya bar.
Itakufanya kupenda ushirikina mkubwa na dhambi nyingi ambazo uzeeni zitakutesa.
Na pili biashara ya bar ni kama mchezaji mpira msimu wako ukipita ni ngumu kurudi. Ni wachache sana waliweza kusimama mda mrefu.
Pombe inalipa ukiwa unauza kwa wauzajiU
Usichokijua ni kama usiku wa kiza ! Hakuna biashara inayolipa kama pombe ! Ngoja niishie hapa
Zipo ambazo ziko local tu na wahudumu ni wale mishangaz na mazingira ya kawaida lakin wana wateja wakutosha,labda wanafanya ulozi nisiouonaSio bahati nimekueleza bar inataka nini kuna mambo lazima ukubari kuyafanya.
Shida kama biashara sio yako unaweza kuona inawezekanaZipo ambazo ziko local tu na wahudumu ni wale mishangaz na mazingira ya kawaida lakin wana wateja wakutosha,labda wanafanya ulozi nisiouona
Vyovyote tu, kiwanda, liquor store, bar/pub pombe inalipa sana ! Speaking form experience ! Kila kitu kina changamoto zake, unatakiwa upambane nazo !!!!Pombe inalipa ukiwa unauza kwa wauzaji
Baba yetu ulie mbinguniSio bahati nimekueleza bar inataka nini kuna mambo lazima ukubari kuyafanya.
Kufa kwa katalunya ni uvamizi wa panya road back 2015, Bar ikafungwa, maana mtaa ukajaa wizi na lile giza. Maana pale palikua ndio dada poa wanapojiuzia wale wa meeda. Walipofungua bar ikafungwa tena.Sijui kama anafahamu BAR zilizovuma na kufa.
Kuna bar ilitamba mwenge katalunya,bar zilizotamba sinza,kinondoni na kwengine muulize ziko wapi?.
Omba sana sali sana ๐๐๐๐Mwezi uje na uwekezaji dhabiti na sio wa kushangaana๐
Mwezi wa kukusanya mitaji hela hazitumki sana