Nauliza bei wewe!. Uwezi peleka dsm afu ukute wanauza 70 we unauza 80! Au ujasoma?.Uwe mnasoma mada na kuelewa kabla ya kuandika
Watu ambao wangekushauri wewe unawajibu nyodo, hapo ungezingatia mawazo yao tu . Mfano wanaotaka kujua bidhaa Yako unauza bei gani Ili wawe na uwanja mpana wakukushauri.Ujasoma - Hujasoma
Nadhani ambaye hajasoma kashajulikanaš¤£
Nimemjibu kama alivyokuja! Huko juu kanitukana! Siendekezagi ujinga mimi hata kama nina shida!W
Watu ambao wangekushauri wewe unawajibu nyodo, hapo ungezingatia mawazo yao tu . Mfano wanaotaka kujua bidhaa Yako unauza bei gani Ili wawe na uwanja mpana wakukushauri.
Peleka tarakea pale mpakani utauzaHabari wapambanaji wenzangu!
Samahani nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata soko la kuuza mahindi! Natoa mahindi Handeni Tanga! Nilikuwa nina mpango wa kukusanya na kuuza mara moja au mbili kwa wiki hivyo naomba kujua soko ambalo liko reliable!
Natanguliza Shukurani!
We kunamtu kakutukana? Tafuta soko utapata tu! Kwaujeuliwako naona unashida.Nimemjibu kama alivyokuja! Huko juu kanitukana! Siendekezagi ujinga mimi hata kama nina shida!
Hujasoma ndo vinini?.Ujasoma - Hujasoma
Nadhani ambaye hajasoma kashajulikanaš¤£
Sina mtu pale mkuu ila nakushauri kama kweli umedhamilia nenda pale bila mzigo alafu fanya utafiti wewe mwenyewe. Utapata majibu na connectionAsante mkuu ndo napambania hapa nipate hiyo connection! Kama kuna mtu naomba anicheki 0687391885
Peleka Dar es salaam Soko la manzese pale darajani unaingia kushoto kama unatokea upande wa Ubungo . Utaona malori mengi yamepaki na Kuna mashine za kusaga Unga wa Sembe ,Habari wapambanaji wenzangu!
Samahani nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata soko la kuuza mahindi! Natoa mahindi Handeni Tanga! Nilikuwa nina mpango wa kukusanya na kuuza mara moja au mbili kwa wiki hivyo naomba kujua soko ambalo liko reliable!
Natanguliza Shukurani!
shukran sana kaka nakuja pmPeleka Dar es salaam Soko la manzese pale darajani unaingia kushoto kama unatokea upande wa Ubungo . Utaona malori mengi yamepaki na Kuna mashine za kusaga Unga wa Sembe ,
Ukiwa. Tayari uniambie nikupe number ya Dalali mzuri pale manzese nawajua kama watatu Wazuri.
Bei ya Leo 31/05 Mahindi ya Tanga Kwa KG 510 Kwa 500/ naahindi ya Kiteto na Dodoma Tshs 540/ Kwa 530/ Kwa KG Moja hiyo Tshs 10 ni ya Dalali Kwa Kila KG Moja.
Makulu wanaochukuwa Tsh 1500/ Kwa Gunia Moja.