Wapi naweza pata soko la mahindi?

Wapi naweza pata soko la mahindi?

MEGATRONE

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
1,140
Reaction score
2,141
Habari wapambanaji wenzangu!

Samahani nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata soko la kuuza mahindi! Natoa mahindi Handeni Tanga! Nilikuwa nina mpango wa kukusanya na kuuza mara moja au mbili kwa wiki hivyo naomba kujua soko ambalo liko reliable!

Natanguliza Shukurani!
 
Tafuta connection ya kuuza mpakani na Kenya, kama vile Tarakea au Namanga.
 
W

Watu ambao wangekushauri wewe unawajibu nyodo, hapo ungezingatia mawazo yao tu . Mfano wanaotaka kujua bidhaa Yako unauza bei gani Ili wawe na uwanja mpana wakukushauri.
Nimemjibu kama alivyokuja! Huko juu kanitukana! Siendekezagi ujinga mimi hata kama nina shida!
 
Habari wapambanaji wenzangu!

Samahani nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata soko la kuuza mahindi! Natoa mahindi Handeni Tanga! Nilikuwa nina mpango wa kukusanya na kuuza mara moja au mbili kwa wiki hivyo naomba kujua soko ambalo liko reliable!

Natanguliza Shukurani!
Peleka tarakea pale mpakani utauza
 
Asante mkuu ndo napambania hapa nipate hiyo connection! Kama kuna mtu naomba anicheki 0687391885
Sina mtu pale mkuu ila nakushauri kama kweli umedhamilia nenda pale bila mzigo alafu fanya utafiti wewe mwenyewe. Utapata majibu na connection
 
Habari wapambanaji wenzangu!

Samahani nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata soko la kuuza mahindi! Natoa mahindi Handeni Tanga! Nilikuwa nina mpango wa kukusanya na kuuza mara moja au mbili kwa wiki hivyo naomba kujua soko ambalo liko reliable!

Natanguliza Shukurani!
Peleka Dar es salaam Soko la manzese pale darajani unaingia kushoto kama unatokea upande wa Ubungo . Utaona malori mengi yamepaki na Kuna mashine za kusaga Unga wa Sembe ,
Ukiwa. Tayari uniambie nikupe number ya Dalali mzuri pale manzese nawajua kama watatu Wazuri.
Bei ya Leo 31/05 Mahindi ya Tanga Kwa KG 510 Kwa 500/ naahindi ya Kiteto na Dodoma Tshs 540/ Kwa 530/ Kwa KG Moja hiyo Tshs 10 ni ya Dalali Kwa Kila KG Moja.
Makulu wanaochukuwa Tsh 1500/ Kwa Gunia Moja.
 
shukran sana kaka nakuja pm
 
Back
Top Bottom