Wapi naweza pata soko la mahindi?

Wapi naweza pata soko la mahindi?

Habari wapambanaji wenzangu!

Samahani nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata soko la kuuza mahindi! Natoa mahindi Handeni Tanga! Nilikuwa nina mpango wa kukusanya na kuuza mara moja au mbili kwa wiki hivyo naomba kujua soko ambalo liko reliable!

Natanguliza Shukurani!
Masoko yapo uku dsm yapo tani ngapi na tsh ngapi na dalali yake ngapi
 
Habari wapambanaji wenzangu!

Samahani nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata soko la kuuza mahindi! Natoa mahindi Handeni Tanga! Nilikuwa nina mpango wa kukusanya na kuuza mara moja au mbili kwa wiki hivyo naomba kujua soko ambalo liko reliable!

Natanguliza Shukurani!

Habari wapambanaji wenzangu!

Samahani nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata soko la kuuza mahindi! Natoa mahindi Handeni Tanga! Nilikuwa nina mpango wa kukusanya na kuuza mara moja au mbili kwa wiki hivyo naomba kujua soko ambalo liko reliable!

Natanguliza Shukurani!
Una Tani ngapi
 
Peleka Dar es salaam Soko la manzese pale darajani unaingia kushoto kama unatokea upande wa Ubungo . Utaona malori mengi yamepaki na Kuna mashine za kusaga Unga wa Sembe ,
Ukiwa. Tayari uniambie nikupe number ya Dalali mzuri pale manzese nawajua kama watatu Wazuri.
Bei ya Leo 31/05 Mahindi ya Tanga Kwa KG 510 Kwa 500/ naahindi ya Kiteto na Dodoma Tshs 540/ Kwa 530/ Kwa KG Moja hiyo Tshs 10 ni ya Dalali Kwa Kila KG Moja.
Makulu wanaochukuwa Tsh 1500/ Kwa Gunia Moja.
Vipi bei saivi inacheza ngapi..?
 
Jisajili katika mfumo huo AGROXY - Efficient Global Marketplace kisha weka taarifa zamahindi unayouza utaunganishwa nawanunuzi wauhakika dar kwakiasi unachouza. Kuna mnunuzi kutoka Ubena zomozi anchukulia sana hañdeni hivyo itakuwa mwanzo mzuri sana kufanya naye kazi.

Jisajili leo
 
Mkuu km mzigo nI mkubwa, peleka zambia soko ni kubwa, serikali yenyewe inataka kuuzia Zambia Tani nyingi za Mahindi
 
Back
Top Bottom