Tom lee Ab
Member
- Jan 11, 2020
- 41
- 17
Masoko yapo uku dsm yapo tani ngapi na tsh ngapi na dalali yake ngapiHabari wapambanaji wenzangu!
Samahani nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata soko la kuuza mahindi! Natoa mahindi Handeni Tanga! Nilikuwa nina mpango wa kukusanya na kuuza mara moja au mbili kwa wiki hivyo naomba kujua soko ambalo liko reliable!
Natanguliza Shukurani!