Wapi naweza pata soko la mahindi?

Masoko yapo uku dsm yapo tani ngapi na tsh ngapi na dalali yake ngapi
 

Una Tani ngapi
 
Vipi bei saivi inacheza ngapi..?
 
Jisajili katika mfumo huo AGROXY - Efficient Global Marketplace kisha weka taarifa zamahindi unayouza utaunganishwa nawanunuzi wauhakika dar kwakiasi unachouza. Kuna mnunuzi kutoka Ubena zomozi anchukulia sana hañdeni hivyo itakuwa mwanzo mzuri sana kufanya naye kazi.

Jisajili leo
 
Mkuu km mzigo nI mkubwa, peleka zambia soko ni kubwa, serikali yenyewe inataka kuuzia Zambia Tani nyingi za Mahindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…