Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
SongeaHuku niliko ni 700 hadi 800 per kg
Hii ni bei ya Tabora
Wewe upo sehemi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SongeaHuku niliko ni 700 hadi 800 per kg
Hii ni bei ya Tabora
Wewe upo sehemi gani?
Thread murua,umeiweka muda muafaka!Nimeangalia muktadha wa nchi yetu kwa hali ya sasa,upungufu wa vyakula muhimu,kutokana na tabia nchi,mvua kuchelewa,wakulima kuchelewa kupanda na ukame ulioikumba nchi miez kadhaa nyuma,bei za bidhaa/mazao kupanda,n.k..nataka niitumie hii kama fursa kwenye upande wa biashara ya mazao,kutoa sehem moja kupeleka nyingine.kununua bei ya chini shamban kuuza eneo lingne kwa bei nzur,NAOMBA MSADA wa mawazo.
Kaka salama embu Nipe bei ilivyo kwa sasa kwa mahindi mkuuNjoo Songea utimize ndoto yako
Kaka salama embu Nipe bei ilivyo kwa sasa kwa mahindi mkuu
Ni 300 hadi 35o per kg huko bushKaka salama embu Nipe bei ilivyo kwa sasa kwa mahindi mkuu
Kwa Songea bush unazungumzia maeneo gani hasa mkuu maana nimekaa sana hapo MajengoNi 300 hadi 35o per kg huko bush
Mjini ni 400 hadi 500
Peramiho na vijiji vyake,madaba na vijiji vyake etcKwa Songea bush unazungumzia maeneo gani hasa mkuu maana nimekaa sana hapo Majengo
Kule mputa kuna ufuta mwingi sana na mahindiPeramiho na vijiji vyake,madaba na vijiji vyake etc
Siunaona sasa, kama wakati huu a mavuno huko wanauziwa mia7 mvua ya msimu ujao ikianza kunyesha bei si itakuwa zaidi ya elf1!!Huku niliko ni 700 hadi 800 per kg
Hii ni bei ya Tabora
Wewe upo sehemi gani?
kaka ni vizuri ukataja na bei na namna gani mazao hayo yanasafirishwa na masoko yapo maeneo gani taja hata kwa majina tu itakuwa msaada sana kwa wanajamviKatavi mahindi ni mengi sana tena cheap.Maeneo ya Majimoto na Inyonga huko ni kama unapewa bure.
umuonyeshe nini bwana wewe kama hutaki kutoa data toa namba yako hapo hatutaki watu kama nyie we si unaona wenzako wamemwaga data hapa au una lengo gani weweNipigie 0758844240 nikuonyeshe
mkubwa iyo 100 per kg ni kusafirisha kutoka wapi hadi wapi je kusafirisha mahindi toka songea mpaka dar inaweza kuwa sh. ngapi kwa gunia au taniUkubwa au udogo wa faida hutegemea mtaji nawe utauza bei gani.
Huko uliko mahindi ni bei gani?
Huku kwetu ni 350 kwa kilo. Kusafirisha Mara nyingi huwa 100/ per kg.
Do a math
bwana rene jr huko songea mvua zilishakata na watu wamevuna tayari maanake kwa dar mvua zinarindima sana sasa sijui huko vipi maanake mimi nilikuwa napiga hesabu nijikusanye mwezi huu na wa sita wote kisha niingie kwenye hii biashara au nitakuwa nimepishana na nyakati na nauliza vipi siwezi kuifanya hii biz kuanzia mwezi wa saba au mambo yatakuwa yamebadilika sana ushauri wako plz niko serious na hii mambo nishawasumbua sumbua sana wadau fulani fulani kwa pm humu ila namshukuru huyu bwana napoleone kwa kuleta uzi kabisaa na wadau wameuchangiaSiunaona sasa, kama wakati huu a mavuno huko wanauziwa mia7 mvua ya msimu ujao ikianza kunyesha bei si itakuwa zaidi ya elf1!!
mkubwa nikushukuru kwa kuchangia lakini kaka tunaomba ungetutajia maeneo yenyewe kabisa maana kagera ni kubwa alaf na bei za huko kuhusu bei za masoko hizo wadau tunaweza tu kuzitafutaNenda songea mahindi ya kumwaga nenda kagera maharage kibao
mkubwa bei ya kusafirisha haiwezi pungua kama unasafirisha kuanzia tani maana hapa kwa hiyo bei sh.100 kwa kila kilo faida haipo hapo kama utakuta mahindi bei ni 400Ni 300 hadi 35o per kg huko bush
Mjini ni 400 hadi 500
mkubwa vipi unajihusisha na kilimo huko songea nahitaji kujua mbili tatumkubwa bei ya kusafirisha haiwezi pungua kama unasafirisha kuanzia tani maana hapa kwa hiyo bei sh.100 kwa kila kilo faida haipo hapo kama utakuta mahindi bei ni 400
Umelogwa Namba hujaiona hapo unataka Namba gani au plate Nambaumuonyeshe nini bwana wewe kama hutaki kutoa data toa namba yako hapo hatutaki watu kama nyie we si unaona wenzako wamemwaga data hapa au una lengo gani wewe
Unaweza negotiate ila gunia LA kg100 husafirishwa kwa 10000.mkubwa bei ya kusafirisha haiwezi pungua kama unasafirisha kuanzia tani maana hapa kwa hiyo bei sh.100 kwa kila kilo faida haipo hapo kama utakuta mahindi bei ni 400
Hiyo ni songea to Dar.mkubwa iyo 100 per kg ni kusafirisha kutoka wapi hadi wapi je kusafirisha mahindi toka songea mpaka dar inaweza kuwa sh. ngapi kwa gunia au tani