Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

Boswana ni pazuri shida sasa mkuu ukienda nenda katafute maisha kweli Mimi nimefilka gaberon bt maisha niliyoyaona ni ya bata sana wanawake ni wengi alafu wamejiachia sana na ukimwi ni mwingi sana
Vipi kuhusu nauli ya kutoka TanzaniaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ kwenda BotswanaπŸ‡§πŸ‡Ό huko na ni kazi gani zipo kwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…