Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napo atapata cha giza na hakina maji wala choo...🤣Mbagara
Huko nasikia wakati wa mvua ni changamotoNenda mbagala ndugu yangu
Buguruni kwa Mnyamani au tandale kwa Tumbo, Manzese kwa mfuga mbwa, Mburahati, kakalie Kigogo pia.Naombeni mnisaidie sehemu yenye vyumba vya 30000 kwa dar
Nataka kizuri mkuuUnataka chenye AC kabisa?
Atakunya wapiNapo atapata cha giza na hakina maji wala choo...🤣
Nataka cha umeme mkuuNapo atapata cha giza na hakina maji wala choo...🤣
Tegeta atapata iyo mitaa, kwa kikweche hukoTegeta vipo hapa, kuna mtaa unaitwa Msichoke vipo
Kazini kwake...😜Atakunya wapi
Hapo mission tu ndugu yangu alipata cha 25 kina umeme, choo safi cha nje, maji ndo hayakuwepoNapo atapata cha giza na hakina maji wala choo...🤣
Shukrani mkuu. Je nikitaka chenye choo ndani naweza kuongezea ngapi?Nenda mbagala ndugu yangu
Labda karibu na Mpigamiti kule unaweza ukapata mkuuNataka cha umeme mkuu
Vingunguti 😃😃kwa pale hiki ni self kbsaNaombeni mnisaidie sehemu yenye vyumba vya 30000 kwa dar
Hiyo 30000 mbagala unapata chenye choo ndanShukrani mkuu. Je nikitaka chenye choo ndani naweza kuongezea ngapi?