Wapi nitapata chumba kizuri cha 30000 kwa Dar es Salaam

Wapi nitapata chumba kizuri cha 30000 kwa Dar es Salaam

Me alikuwa anaish ndugu yangu hapo alishahama.
Nimeshampatia code aende hapo akazurure atapata room. Halaf mbagala hata boda ziko nafuu Sana
Na maisha kwa ujumla
Asante nitaenda kuangalia
 
Back
Top Bottom