Wapi nitapata chumba kizuri cha 30000 kwa Dar es Salaam

Wapi nitapata chumba kizuri cha 30000 kwa Dar es Salaam

Mfano unaeza pata kimara then ukitoka posta/kkoo kwa mwendo kasi ukishuka unapanda bajaji buku kwenda buku kurudi mara 30 days 60k ukiongeza Kodi 90k jumla inakua Bora utafute chumban cha 60 au 70 karbu na barabara unakua NI kupanda mwendo kadi tu
Uko sawa mkuu ila kwa sasa nipo vibaya kiuchumi ndio maana natafuta cha bei ndogo
 
Mkuu hapa pisi za mbagara zina rangi tatu tatu
Mbagala ndo mitaa niliyokulia an kuanzia rangi tatu. Kongoe. Vikindu.

Tukirudi huku moja kwa moja mpaka msongora huko..

Picha linaanza nakaa rangu tatu ila nasoma majimatitu..

Uzuri wa huku unakutana na kuku wa kienyeji yaan pure girl ambaye yeye ukimpa 5k ya kusuka atakupa kila kitu...

Kuku wa kienyeji sifa yao.kubwa ni wanaweza mapenzi kuliko unavozania

Pili wanavaaga vijora tuuuu hana kipini puani ila ametoboa pua
 
Naona umetoa comment zaidi ya moja kuhusu mbagala..
Mbona wewooo.. kusema mbagala huko tupo chip hvo..

Updates mkuu now mi na swaumu tushazinguana now nipo na malaika wangu Jannet....
Huyo Janet utamwonea tu maana akina Janet huwa ni wapole sana nishawahi kuwa na binti anaitwa Janet alikuwa mpole sana

Mfano mwingine mama Janet Magufuri, mama Janet mseven
 
Huyo Janet utamwonea tu maana akina Janet huwa ni wapole sana nishawahi kuwa na binti anaitwa Janet alikuwa mpole sana

Mfano mwingine mama Janet Magufuri, mama Janet mseven
Tunapendana sana mkuu
Aiseee hii pisi nikija kuiacha jua kabisa nipo.kaburini she is very kindly to me na tayar nina mpango nimpeleke hom na kwa mashemeji zake kina Vishu Mtata
 
Mbagala ndo mitaa niliyokulia an kuanzia rangi tatu. Kongoe. Vikindu.

Tukirudi huku moja kwa moja mpaka msongora huko..

Picha linaanza nakaa rangu tatu ila nasoma majimatitu..

Uzuri wa huku unakutana na kuku wa kienyeji yaan pure girl ambaye yeye ukimpa 5k ya kusuka atakupa kila kitu...

Kuku wa kienyeji sifa yao.kubwa ni wanaweza mapenzi kuliko unavozania

Pili wanavaaga vijora tuuuu hana kipini puani ila ametoboa pua
Hilo tundu puani unaweza kunieleza ni kwaaji ya nini mkuu? Mbona umeingizwa mkenge kilaini hivyo🤣🤣🤣
 
Hilo tundu puani unaweza kunieleza ni kwaaji ya nini mkuu? Mbona umeingizwa mkenge kilaini hivyo🤣🤣🤣
Oky mkuu hili tundu kazi yake kubwa ule mda anachezwa kabla ya kuja kuolewa huwa wanamfusha Chendu.. chendu ni jamii ya hereni kama ya kiihindi ambayo hii kazi yake ni kufundishwa ni jinsi gani ya kumlea mtoto wa kiume kama mwanae...
😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom