King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
umwambie pia kuhusu vibakaMe alikuwa anaish ndugu yangu hapo alishahama.
Nimeshampatia code aende hapo akazurure atapata room. Halaf mbagala hata boda ziko nafuu Sana
Na maisha kwa ujumla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umwambie pia kuhusu vibakaMe alikuwa anaish ndugu yangu hapo alishahama.
Nimeshampatia code aende hapo akazurure atapata room. Halaf mbagala hata boda ziko nafuu Sana
Na maisha kwa ujumla
Hapo kumbe vibaka wengiumwambie pia kuhusu vibaka
Karibu 23000 hapa chalinze maisha walisema popoteNaombeni mnisaidie sehemu yenye vyumba vya 30000 kwa dar
Kina umeme na maji mkuu?Karibu 23000 hapa chalinze maisha walisema popote
Kumbe kuna vibaka? 🤣 me sijawah ishi mbagala. Anaish ndugu yangu huko sema alihama missionumwambie pia kuhusu vibaka
Hiyo ni buku 30 siyo laki 3Jaribu Masaki ukikosa nenda Mbweni uhakika full AC na ni self contained.
Apartment ya Full Varnished Unakuja wewe na familia yako kukaaa huna haja ya kusafirisha vyombo vyakoKina umeme na maji mkuu?
Mbele kidogo kuna mtaa unautwa chasimba karibu na msingi mbio kunabhadi cha 25,000 ila azingatie hio msingi mbio.Tegeta vipo hapa, kuna mtaa unaitwa Msichoke vipo
Hiyo sitaweza beiApartment ya Full Varnished Unakuja wewe na familia yako kukaaa huna haja ya kusafirisha vyombo vyako
Nataka chumba sitaki gest
Sawa mkuuMbele kidogo kuna mtaa unautwa chasimba karibu na msingi mbio kunabhadi cha 25,000 ila azingatie hio msingi mbio.
Kwahiyo wakishamaliza kula wanaenda kumwagia wapi taka?Napo atapata cha giza na hakina maji wala choo...🤣
Hey boo♥️Tunapendana sana mkuu
Aiseee hii pisi nikija kuiacha jua kabisa nipo.kaburini she is very kindly to me na tayar nina mpango nimpeleke hom na kwa mashemeji zake kina Vishu Mtata
Asante mkuuManzese na tandale vingi 35k hata 30k hukosi watu humu wasikudanganye
23,000 bajeti yako si 30,000 mtanzania bwana😂😂Hiyo sitaweza bei
Ndiyo, aende kwa imani na mafuta ya mwamposa atapata.Hiyo ni buku 30 siyo laki 3
Mkuu uwe serious23,000 bajeti yako si 30,000 mtanzania bwana😂😂
Hatakagi kusema nimetoka nchi unayotakiwa kutojua kitu
Fanya tafiti nenda manzese, kigogo mburahati tandale maeneo yaliyo karibu mno! Ukiweza kutembea hukosi chumba labda km mbagala unapapenda Ila Bora hata mwanNyamala hukoAsante mkuu