Wapi nitapata chumba kizuri cha 30000 kwa Dar es Salaam

Vipi kuhusu maji hayasumbui?
 
Neno kizuri toa hapo, hata kwa Aziz ally hupati, kwa Bei hio tafta chchte hata kama kinavuja.
 
Mzee kama unataka kuishi chini ya Daraja la mfugale si useme tu? Hahaha ongeza walau 50K ukapate huko Buza au Gomzi au Mbagara ila tofauti na hapo kimekulamba mshua....

30K chumba kipo hivi
1. Uswahilini sanaaaaa
2 usalama mtaani 10%
3. Hakina Umeme,tiles,floor n kawaida na wenda mtaishi kama bweni au mtashare sebure na mwenye nyumba
 
Kikubwa chumba tu mkuu. Kwa sasa naanza maisha
 
Mbezi Msingwa kwa msuguri uanenda mbele kidogo kipo. kama unahitaji na Uko serious nicheki PM. Kutoka kwa msguri hadi msingwa nauli ya bajaji ni 700 kutembea ni dakika 25.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…