Wapi nitapata daladala za kufika Bagamoyo haraka kati ya Chalinze na Mlandizi?

Wapi nitapata daladala za kufika Bagamoyo haraka kati ya Chalinze na Mlandizi?

Mlandizi Bagamoyo rahisi zaid
Nauli 2500 hayazid masaa mawili
 
Mbezi To Kibaha ni 500 au 700 kwa mwendo Kasi.Wewe hiizo nauli unatoa wapi? Utakuwa wa Mkoani haupo Dar.
Nina kaa bunju. Huko kibaha nilienda mara moja kwa kupanda daladala hivo nazungumzia nauli kwa experience yangu. Mbezi to kibaha kwa matias nililipa buku na ndio nauli halisi huko kwingine sijui
 
Back
Top Bottom