Wapi nitapata daladala za kufika Bagamoyo haraka kati ya Chalinze na Mlandizi?

Wapi nitapata daladala za kufika Bagamoyo haraka kati ya Chalinze na Mlandizi?

Kwenu wana Jamiiforum, naomba kujua ni route hipi ya haraka na rahisi kupata daladala za kwenda Bagamoyo, kati ya Chalinze to Bagamoyo au Mlandizi to Bagamoyo. Na nauli ikoje kutoka hayo maeneo kwenda Bagamoyo.

Natanguliza shukran za dhati.
Mlandizi zipo zinapita njia ya yombo, magereza, bagamoyo
 
Vipi Mlandizi maisha yakoje?
Vipi mzunguko wa pesa na shughuli za kiuchumi?
Viwanja pia vinaendaje?
Nataka kuweka makazi ya kudumu hapo.
 
Back
Top Bottom