Wapi nitapata fuvu/mabaki ya binadamu mzungu aliyekuwa nyani kabla ya kuwa modern man?

Wapi nitapata fuvu/mabaki ya binadamu mzungu aliyekuwa nyani kabla ya kuwa modern man?

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,678
Reaction score
1,617
Wakuu ntangulize shukrani kwa wajuvi wa mambo,nikili tu kwamba mimi somo la history nilikuwa mweupe.

Ila nakumbuka kama vile fuvu la binadam-nyani wa kale linapatikana Afrika mashariki. Olduvai George (mtanikosoa)

Sasa fuvu hili ni wazi ni la mwafrika au mtu mweusi,sasa swali langu ni je fuvu la binadamu nyani mzungu linapatikana wapi?

Je wazungu na wao walipitia mabadiliko hayo,kama ndiyo je historical site au museums za hayo mabaki ziko wapi?

Je kama wao watakuwa hawajajiweka kuwa nyani ni sahihi sisi kuendelea kujidharirisha au na sisi tufute kipengere hicho katika mitaara ya shule zetu?🙏
 
Ni Waafrika tuu ndio walikuwa nyani, huwezi kuwa na akili ya kupanda mwezini afu uwe sokwe zamani.
 
Hili liwaendee walimu wanaosumbua serikali watujibie
 
Mafuvu yamejaa Africa yameshindwa hata kusimamia rasimali za nchi zikabadilisha maisha ya wananchi wao, angalia congo 🇨🇩
 
Mafuvu yamejaa Africa yameshindwa hata kusimamia rasimali za nchi zikabadilisha maisha ya wananchi wao, angalia congo 🇨🇩
Hili swala mpaka namaliza shule sijawahi kuelewa kabsa
 
Back
Top Bottom