Misunderstood
JF-Expert Member
- Aug 4, 2020
- 384
- 884
Habari wakuu!
Nahitaji kujua kama kuna usafiri wowote wa jioni au usiku wa kwenda Arusha!
Nimepata dharura nahitaji kusafiri jioni/usiku wa leo huko na nimezoea kusafiri na mabus ya kawaida tu! Nimefatilia Kilimanjaro Xprs safari za usiku wamesitisha kwa mda!
Msaada wenu tafadhali wapi naweza usafiri wa jioni wa kwenda Arusha.

Jamani nimefika Ubungo Sheli nimepata coaster soon linaondoka!
Ila hii safari nimepania mno mpaka nahisi kifo kinaniita! Na sina naloenda kufanya huko bali nimemiss tu wazazi ila nimeshindwa kusubiria kesho yaani roho haikubali kabisa! Soon naanza safari.