Wapi nitapata gari za mkoani Arusha Usiku

Misunderstood

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2020
Posts
384
Reaction score
884
Habari wakuu!

Nahitaji kujua kama kuna usafiri wowote wa jioni au usiku wa kwenda Arusha!

Nimepata dharura nahitaji kusafiri jioni/usiku wa leo huko na nimezoea kusafiri na mabus ya kawaida tu! Nimefatilia Kilimanjaro Xprs safari za usiku wamesitisha kwa mda!

Msaada wenu tafadhali wapi naweza usafiri wa jioni wa kwenda Arusha.

 
Tafuta gari la MAGAZETI linaondoka usiku na alfajiri unakuwa uko Arusha.
 
Nadhani hata Bus za Kilimanjaro wa gari ya usiku niliona tangazo lao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…