Wapi nitapata kazi ya malipo ya 5000 kwa siku?

Mropoka Hovyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2023
Posts
446
Reaction score
1,253
Wakuu naomba mnisaidie connection au sehemu ambayo naweza kupata kazi ya malipo ya kiasi cha shilingi elfu tano kwa siku MWANZA MJINI au ILEMELA kama ipo.

NB: Wakuu hata kazi ngumu za ujenzi pia kama zinapatika naomba mnielekeze nikaombe kazi.
 
Nenda Mbezi Mwisho jirani na NMB bank Kuna maduka ya jumla .
 
Back
Top Bottom