Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Mkuu kama Kuna sehemu wanalipa Elfu 5 kwa siku pls naomba unielekeze nipo kwenye hali ngumu sana.Unajua hiyo ata dolla 2 haijafika
Asante mkuu ila mtaani ni kugumu sana.Pole sana mkuu,
Kweli mkuu, ingia shambaniAsante mkuu ila mtaani ni kugumu sana.
🙏🙏🙏MWENYEZI MUNGU AKUSAIDIE MKUU
Ukuwa huna shughuli ya kukuingizia chochote sio mwanza tuu mahali popote maisha ni magumu sana sanamwanza maisha yamekuwa magumu sana
Me nalipwa 10k kwa siku ila kazi ni ya masimango asee afu naona ni ndogo kumbe Kuna watu wanashida
Toa fursa....Pole sana mkuu, ni lazima iwe mwanza..
Je ikitokea nafasi sehemu nyingine jeh mf. Zanzbar utakuwa tayari??
Nenda Mbezi Mwisho jirani na NMB bank Kuna maduka ya jumla .Wakuu naomba mnisaidie connection au sehemu ambayo naweza kupata kazi ya malipo ya kiasi cha shilingi elfu tano kwa siku MWANZA MJINI au ILEMELA kama ipo.
NB: Wakuu hata kazi ngumu za ujenzi pia kama zinapatika naomba mnielekeze nikaombe kazi.
Hakika mkuuUkuwa huna shughuli ya kukuingizia chochote sio mwanza tuu mahali popote maisha ni magumu sana sana
Mwanza alafu mbezi mwisho?Nenda Mbezi Mwisho jirani na NMB bank Kuna maduka ya jumla .