Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Mkuu kwenye uzi wetu ule wa, wapi ulishudia nguvu za au kichawi mbona hujaiposti hii
 
Watu wanakurupuka tu, waganga wa kweli wapo afu hawatangulizi pesa mbele, we nenda ukifanikiwa utakuja kutoa shukrani
 
Mkuu umeandika kimasihara lakini hivyo vitu vpo
 
Pole sana mkuu
 
Mkuu ndiyo umefikia huku kweli? Mkuu tupo tayari kukulipa deni lako usiende kwa mganga ili utudondoshe. Naomba Jumapili tuonane kwa ajili ya kufanya malipo aisee.
Halafu watu wanachukiliaga masihala mtu akiisema kama ulivyosema wewe, yaani hawaamini kama yule unaemdisi yupo humu JF
Nishawahi shuhudia post ya faza mmoja humu akiisema familia yetu kisa lengo lao la kumuoa dogo lilishindikana. Ila nilivunga kuhusu ile post wala sikuiambia famila
 
Mjini wapi, maana hata Matombo nako wana mjini kwao,, we inaonekana much know

Sikuwa na dhamira wala Nia ya kuwatweza wewe na huyo jamaa wako.

Njoo chemba nikuambie kitu.
Ukidharau shauri yako.
 
Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
Mambo yako yatakuwa mabaya zaidi nenda kwa Yesu Kristo.
 
Nafikiri MziziMkavu na Mshana Jr ni washirikina, watakusaidia.
Mimi Sio Mshirikina ukija kwangu hata una Shilingi Milioni 100 ukitaka kumuuwa mtu sifanyi kazi ya uchawi na wala ushirikina. Mimi ninawatibu watu wenye magonjwa sugu kama .Magonjwa wa Hepatitis B Virus,Ukimwi, Maradhi ya Figo kufeli, maradhi ya Saratani yote,Maradhi ya kisukari,Maradhi ya presha,Maradi ya Kiharusi aka (Stroke) Maradhi yote ya Wanawake Maradhi ya Tezi dume na Maradhi ya njia ya Mkojo aka UTI. Na Maradhi mengine mengi sija orothesha hapa.
 
Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
Mkuu nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia matatizo yako yanayo kusibu.
 
Utaweza kuleta fahali la ngómbe ufanyiwe zindiko lako
 
Ukiwapata wa ushirikina waambie waje kwangu kaka mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yupo kasim mganga yeye ni wa mahaba
 
Aiseee!!
 
Yaani maulozi yenu huko uje kutuuliza hapa? unataka kutuletea laana...
 

Ungetakiwa uwe bilionea as we speak hayo magonjwa si mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…