Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Mkuu kwenye uzi wetu ule wa, wapi ulishudia nguvu za au kichawi mbona hujaiposti hiiNimemkumbuka pia mganga wa pale Ukerewe, alimrudishia jamaa bida zake zilizoibiwa, aliwapa watu wapige kazi boda mpya 3 alafu wao wakajiona masonko wakatoroka nazo kila mtu akahama mkoa, kilichofuatia kila mmoja wao anakuja mbio kutoka huko alikokuwa anapiga mwano anamtafuta mwenye boda na kuangukia pale pale anakata moto[emoji23][emoji23][emoji23]