Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Kanisani nipo na mch ambaye alikuwa mtoto wa mganga marufu Sana miaka ya nyuma,huwa anapenda kuelezea walivyokua wanawatapeli watu,ukisikia hutokaa uwaze mganga maisha yako yoteeee.Dk bingwa ni Yesu pekee yake ,muamini yeye HAKUNA gumu la kumshinda ..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
Kamvunjie chungu cha kiarusha/kimeru watakuwa wanazika kila wiki mpaka arudishe mali au aseme zilipo.

Btw, uuaji ni dhambi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa hiyo ndiyo unataka kuwaroga!? Kwanini usimshtakie Mwenyezi Mungu? Waganga watakulia pesa yako tu. Tafakari kwa kina.,
Nimedhulimiwa na watu awataki kunilipa madeni yangu
 
Uliza hao waliofanikiwa chapchap kimaisha , japo sio rahisi, wabembeleze kiaina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…