Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Kanisani nipo na mch ambaye alikuwa mtoto wa mganga marufu Sana miaka ya nyuma,huwa anapenda kuelezea walivyokua wanawatapeli watu,ukisikia hutokaa uwaze mganga maisha yako yoteeee.Dk bingwa ni Yesu pekee yake ,muamini yeye HAKUNA gumu la kumshinda ..
 
Haya mambo yaache kabisa sio ya kucheka mtu apatakapo shida ukiona mtu analishwa nyoka au nyeshwa mafuta ya taa na wachungaji biashara usimcheke.
Sikuwahi amini wala kuwahi kwenda kwa mganga,mapenzi yalinipeleka aisee nikaliwa 4 milioni na binti sikumpata akaolewa na jamaa aliyenipora kupitia ndumba.
Toka siku hio mganga wa matatizo yangu ni Mimi mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
Kamvunjie chungu cha kiarusha/kimeru watakuwa wanazika kila wiki mpaka arudishe mali au aseme zilipo.

Btw, uuaji ni dhambi
 
Uliza hao waliofanikiwa chapchap kimaisha , japo sio rahisi, wabembeleze kiaina.
 
Back
Top Bottom