Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Kwa hapa hutopata mtu wa maana, nenda tu Korogwe Tanga au sehemu yeyote Tanga utapa waganga wazuri.Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23]Walokole bwana, kwaio nyie mnajua sana dhambi eeh , kwanza there is no such a bullshity thing about dhambi..doesnt exist!
Mtu hatak kwenda kwa mganga ila anafanya mapenzi bila ndoa kila kukichaaa.... Na kazin kwake anaibaaaaaWalokole bwana, kwaio nyie mnajua sana dhambi eeh , kwanza there is no such a bullshity thing about dhambi..doesnt exist!
Nipe namba tafadhaliKama uko serious tafuta usafiri wa toka hapo ulipo uende mpaka simiyu(bariadi mjini),kama utakua unatokea upande wa mwanza utashuka stendi ya somanda ama bariadi mjini, utapanda boda mpaka lugulu kwa buku tano na kama unatokea shinyanga utawaambia wakushushe lugulu. Baada ya hapo kuna kama vijiji viwili sijavishika jina(kama uko serious)utanifata PM nitakupatia namba za wenyeji watakaokupokea na kukupeleka eneo husika..
Mtaalam sio mzee ni kijana mwenye weledi na hataki pesa yako zaidi ya elfu mbili(2000)kabla ya kukuganga.malipo yake ni ahadi tu baada ya kufanikiwa utarudi kutoa shukrani.
Mkuu mambo unayotaka kuyajaribu uwe na moyo.
AlooMtu hatak kwenda kwa mganga ila anafanya mapenzi bila ndoa kila kukichaaa.... Na kazin kwake anaibaaaaa
Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
KWA YESU NI KUSAMEHE WOTE WALOTUKOSEA,NA APPLICATION YA KUOMBA SANA HAIPO.....!(that you mean)Mimi Nina ushahidi wa kutosha.
Njoo kwa YESU KRISTO ALIYE HAI.
Dakika kumi nyingi
Nilikwambia uje mwanzaNimedhulimiwa na watu awataki kunilipa madeni yangu
Kuna mmama mmoja ni hatari huyo..yupo songwe..kama upo interested ni Pm..yeye unatoa hela yoyote ila isipungue 10k..yupo songwe milimani milimani huko..huyo ambae hatak kukulipa atakutafuta mwenyewe na hela atakupa...ila lzm uende mwenyewe kumuona..haagui mtu akiwa mbaliNimedhulimiwa na watu awataki kunilipa madeni yangu
Nipe nambaNilikwambia uje mwanza
Nikakuhakikishia kabisa kwa huyu mtu utaona matokeo chanya
Cha ajabu sikuona response yako, au ulidhulumiwa hadi nauli mkuu?
pole mkuu,Kuna jamaa angu anaishi kyela ni ticha, jamaa walimuibia pkpk yake mpya mwaka juz,jamaa alitafuta hakufanikiwa kuipata,alichokifanya ni story pale mtaani kwao,wale wazi walirudisha wenyewe ile pkpk kituo Cha polisi[emoji23][emoji23][emoji23],nilipomuuliza ilikuwaje akasema aise niliamua niludi nyumbani kwanza ,yy ni mwejeji wa sumbawanga.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].wale wezi walijuta aise waliirudisha ile pkpk wenyewe!!!.hii dunia inawatu wababe aiseSalaam wana JF,
Naandika kwa hasira na kwa uchungu sana juu ya walichonifanyia wezi. Wamenitia hasara kubwa sana inayoenda kugharimu maisha yangu. Najua wapo watakaonishauri nimwachie Mungu, lakini pamoja na hayo, lazima nianzie ngazi za chini kabla ya kulifikisha kwa Mungu. Kwa anayemjua mtaalam mzuri wa kweli na ambaye pengine mwenye ushuhuda wa kazi yake, naomba anisaidie tafadhali.
Inauma sana.
0784 411 922 huyo mganga yupo kwa lulenge dar , alinisaidia kesi mahakamaniMm nataka wakumfanya mtu awe mwendawazimu /chizi ,dili likiwa fresh zawadi nono itatolewa hata kwako wewe ulieunganisha kwa mganga.
0784 411 922 huyo anisaidia mimiSalaam wana JF,
Naandika kwa hasira na kwa uchungu sana juu ya walichonifanyia wezi. Wamenitia hasara kubwa sana inayoenda kugharimu maisha yangu. Najua wapo watakaonishauri nimwachie Mungu, lakini pamoja na hayo, lazima nianzie ngazi za chini kabla ya kulifikisha kwa Mungu. Kwa anayemjua mtaalam mzuri wa kweli na ambaye pengine mwenye ushuhuda wa kazi yake, naomba anisaidie tafadhali.
Inauma sana.
yes kuna mmoja alimtatulia shida jamaa yangu baada ya hapo alipoona jamaa kaponea kwenye tundu la sindano akamwambia kama wewe ni mkristo Nenda kanisani au kama muislamu kaswali..umshukuru Muumba wako!Waganga wa ukweli huwa wanakuja na solution za matatizo yetu faster huku tukiendelea na ibada zetu iwe kanisani au msikitini.