Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Wadau natafuta mganga bora kabisa atakaeizindika nyumba yangu kwani wachawi nananisumbua Sana usiku.
Achana na hiyo mambo kama una imani yako ya dini fanya maombi ama toa sadaka. Mimi yalinikuta mambo magumu sana mpaka nikakimbia nyumba nimeachia msala wapangaji.

Kuna mmoja alipigwa miti ndani asubuhi alikuta tende mezani. Achana kbs na hayo mawazo. Fanya toba tu. Mimi nilifukia kitu hata sikumbuki nilifukia sehemu gani ya nyumba SHIRIKI sitaki hata kuisikia.ACHANA NA MAWAZO HAYO.
 
Back
Top Bottom