The Clinic
Senior Member
- Sep 11, 2019
- 118
- 327
Wadau natafuta mganga bora kabisa atakaeizindika nyumba yangu kwani wachawi nananisumbua Sana usiku.
Una Complicate Mambo.Wadau natafuta mganga bora kabisa atakaeizindika nyumba yangu kwani wachawi wananisumbua Sana usiku.
Yesu Anafanya bureee bila hata kuonana
naweza hiyo kazi lakini ni kwa Maombi Pekee..
na hakuna malipo yoyote maana tumepata bure na tugawe bure pia.