Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Muishike dini kama roho zenu😂😂😂 aisee mie ndio maana mambo ya dini yamenishinda maana unafiki siwezi!Sasa tufanyeje?
I love eating cookies,,,dini inakataza
I love music,,,dini inakataza
I like booze,,,dini inakataa
How the hell will life be! Ukienda upande mwengineo kule ndio balaa maana utakuwa mtumwa milele na ukikosea masharti linakukuta jambo! Bora upande wa dini huku hata usipofata masharti hudhuriki!