The Clinic
Senior Member
- Sep 11, 2019
- 118
- 327
Wadau natafuta mganga bora kabisa atakaeizindika nyumba yangu kwani wachawi nananisumbua Sana usiku.
Una Complicate Mambo.Wadau natafuta mganga bora kabisa atakaeizindika nyumba yangu kwani wachawi wananisumbua Sana usiku.
Mungu ana masharti gani?Pote masharti magumu kwa Yesu na kwa mganga
Kwa dunia ya sasa hivi kwa Mungu na kwenyewe masharti magumu
Kutumia kilevi chochote kile ni dhambiMungu ana masharti gani?
Aliliwa kiboga πFafanua kidogo hapa.
"kupigwa miti" unamaanisha alifanywa au
Kwisha habari yako!Wadau natafuta mganga bora kabisa atakayeizindika nyumba yangu kwani wachawi nananisumbua sana usiku.
Mpe solution mkuuKwisha habari yako!
Toa dawa hapa! Watu wote tunufaike bila kutumia buku 5 maana kero za hawa wangese zimezidiMkuu, usikilize wanaokwambia mambo ya Yesu..walio wengi hata nyumba hawana.
Back to the topic.
Njoo pm nikuelekeze dawa simple ambayo hutatumia hata elfu 5 kuitengeneza na sitakuomba hata senti 1 kukuelekeza.
Nikikuomba hata senti 1 niripoti kwa mods au Maxence Melo nipigwe ban ya milele.
Karibu kama upo serious
Mganga wa nn si u google tu uzindike mwenyewe.Kila kitu online ukitaka uchawi au uganga elimu zote zipo google na youtube.Wadau natafuta mganga bora kabisa atakayeizindika nyumba yangu kwani wachawi nananisumbua sana usiku.
Ulimwachia msala mwenzako,ungebaki hapo ungeliwa wewe..!Ndio nilipangisha dada mmoja hapo kilichomkuta kitu kibaya sana. Alisema alikaa na mbegu za kiume wiki nzima zinatoka tu. Sasa sijui alifanywa mbele hata sijui.
Toa dawa hapa! Watu wote tunufaike bila kutumia buku 5 maana kero za hawa wangese zimezidi
Mganga wa nn si u google tu uzindike mwenyewe.Kila kitu online ukitaka uchawi au uganga elimu zote zipo google na youtube.
True ukishaanza mbio kwa waganga utawamaliza wote na utopata solution.Safari moja uanzisha nyingine. Anagalia sana mkuu king majuto usijejuta baada ya kumaliza safari zote
Sasa tufanyeje?Kutumia kilevi chochote kile ni dhambi
Kuvaa vimini kama avatar yako ilivyo ni dhambi tena wao wanauita ni ushetani
Kumuangalia mwanamke na kumtamani tayari ni dhambi eti ushazini na kuzini ni dhambi
Jichanganye kupenda nyimbo Za akina Harmonize na Rick Ross ni dhambi inabidi tuimbe pambio na za kuabudu masharti ni mengi in short kote ni kugumu
Sini pwani hii hayo mambo hayakwepekagiNa wewe wanakuwangia?
Huo uganga umepitwa na wakati,unaiikinga nyumba ukiwa mbali na nyumba unajikingaje?Kinga weka mwilini na familia yako sio kwenye nyumba.Wadau natafuta mganga bora kabisa atakayeizindika nyumba yangu kwani wachawi nananisumbua sana usiku.