Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Wewe kapuku mimi ni mwislamu pure na nilienda kwa mganga kutoka Ujiji akaja.kuzindika nyumba yangu. Sina ulokole. Na hapa sijaleta hadithi ila nimetoa angalizo. Unadhani hakuna Waislamu ambao hawataki haya mambo ya giza.Sasa wewe ndio mtoto, mnakuja resi hapa kujifanya mnajua sana kumbe ni stori mnasimuliwa na manabii huko kwenye makanisa yenu ya kilokole..mtu amekuja kuhitaji anachohitaji wewe unamuambia mambo ya kuomba na ulokole, nakuuliza hayo majini na kuua ulijua wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina.Mganga Mkuu anaitwa Yesu Mnazareti
Kweli kabisa Mkuu,amtegemee MUNGU tu.Acha kuhangaika na imani potofu,mche Mungu na uyashike maagizo yake,mganga atakupotosha mwishoni utumbukie kwenye dhambi mbaya ya kuambiwa mchinje mwanao!
πππ₯°True ukishaanza mbio kwa waganga utawamaliza wote na utopata solution.
Huwezi logwa kama wewe una positive power.Dunia kuna nguvu mbili hasi au chanya unachagua ipi utembee nayo.Nguvu ya
Uchawi haupiti ukiwa positive power SAwa na umeme kwenye plastic au mbao unakosa connection,ila ukiwa mshirikina au nguvu hasi utarogwa hadi ukome.
Wengine tumelogwa tungali tumboni hadi leo tunarogwa lakini tupo imara hatulogeki sababu ya positive power.
Amen πTafuta Watu/mtu yeyote aliyemwamini Yesu na kuokolewa aje kukufanyia maombi ndani ya nyumba yako! Hutawasikia tena wakikaribia bali utawasikia mtaani wakisema kuwa huyo jamaa ni moto wa kuotea mbali.
Hakuna uchawi wala uganga mbele ya Yesu Kristo!
Nitakosaje hapa kwa mfanoooolooo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mshanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mbona mtaalamu ndio yupo njiani anakuja sa itakuajeNakushauri tu usije kujichanganya ukafanya zindiko la nyumba utajuta na hii dunia.
Mungu akuongoze kwenye zindiko lako.Mbona mtaalamu ndio yupo njiani anakuja sa itakuaje
Nadhani hukumpata kiukamilifu!Mimi napiga bangi balaa kwa hiyo hawa wajinga watakuwa wananipita kushoto
Nilikuwa kwa Yesu masharti yakawa magumu yakanishinda nikatoka huku kwa waganga bado sijakutana na shida kubwa ya kunishinda hadi kwenda huko bado nipo kati kati
Mungu na zindiko tena....ππMungu akuongoze kwenye zindiko lako.
Bro umepotea sana aisee...Nitafute Mimi Kwa Wakati nipate kukuzindikia nyumba yako ili wachawi wasiweze kuingia tena nyumbani kwako na kukuchezea usiku .
Tatizo hataki nizini na mimi kwa utelezi huniambii kitu nikakuelewaNadhani hukumpata kiukamilifu!
Yesu akiwa ndani yako huachilia nguvu na maarifa ya kushinda kila kitu unachokiona kinaleta ugumu ndani yako!!
Nadhani ulikuwa kwenye dini,ungeamua kumpokea Yesu kikamilifu usingeona kuwa kuna Masharti yoyote!!
It's nonsense as long as you highly believe in witchcraft and witch doctors. You can't believe in what I advise nor see the power in the name of the Lord. Carry on with your beliefs, hence questioning the might of the God's power over demons, witchcraft and all those believe in it.Nonsense! Una udhibitisho gani kua mchungaji mapadre au mashekhe ndio wanawaweza wachawi, kwa grounds zipi embu fafanua kwa undani zaidi with vivid examples i mean real examples
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mbinu ya kivitaππππNakumbuka mm nilipo hamia tu kwenye kibanda changu wakaanza mambo ya kipuuzi mara usikie kitu km kimetua batini..mara mchanga umwagike juu ya dari.Siku moja nikaona hawa wasenge wamezidi nikatoka na boksa tu nilitukana wale wasenge matusi yote unayoyajua plus mikwara ya nguvu ..kua nikiamua kwenda nyumbani mtaani hakutabaki mtu ila hayo mambo mm sitaki sasa endeleeni na upuuzi wenu mm namwachia Mungu .Tangu siku hiyo sijasikia upuuuzi wa aina yeyote.
π€£π€£π€£ si uoe sasa kama huwezi kujizuia?Tatizo hataki nizini na mimi kwa utelezi huniambii kitu nikakuelewa
Wakati yeye anatoka kwenda kuwanga wenzake walikuwa wanaingia kumuwangia kwake.Umejuaje ni wachawi wanakusumbua usiku?