Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Wewe kapuku mimi ni mwislamu pure na nilienda kwa mganga kutoka Ujiji akaja.kuzindika nyumba yangu. Sina ulokole. Na hapa sijaleta hadithi ila nimetoa angalizo. Unadhani hakuna Waislamu ambao hawataki haya mambo ya giza.Sasa wewe ndio mtoto, mnakuja resi hapa kujifanya mnajua sana kumbe ni stori mnasimuliwa na manabii huko kwenye makanisa yenu ya kilokole..mtu amekuja kuhitaji anachohitaji wewe unamuambia mambo ya kuomba na ulokole, nakuuliza hayo majini na kuua ulijua wapi
Sent using Jamii Forums mobile app