Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Sasa wewe ndio mtoto, mnakuja resi hapa kujifanya mnajua sana kumbe ni stori mnasimuliwa na manabii huko kwenye makanisa yenu ya kilokole..mtu amekuja kuhitaji anachohitaji wewe unamuambia mambo ya kuomba na ulokole, nakuuliza hayo majini na kuua ulijua wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kapuku mimi ni mwislamu pure na nilienda kwa mganga kutoka Ujiji akaja.kuzindika nyumba yangu. Sina ulokole. Na hapa sijaleta hadithi ila nimetoa angalizo. Unadhani hakuna Waislamu ambao hawataki haya mambo ya giza.
 
Ushauri wangu mkabidhi MUNGU Nyumba yako.Ita Padre,au Mchungaji au Shekhe, kadiri ya imani yako asali ili kuibariki.
 
Nakumbuka mm nilipo hamia tu kwenye kibanda changu wakaanza mambo ya kipuuzi mara usikie kitu km kimetua batini..mara mchanga umwagike juu ya dari.Siku moja nikaona hawa wasenge wamezidi nikatoka na boksa tu nilitukana wale wasenge matusi yote unayoyajua plus mikwara ya nguvu ..kua nikiamua kwenda nyumbani mtaani hakutabaki mtu ila hayo mambo mm sitaki sasa endeleeni na upuuzi wenu mm namwachia Mungu .Tangu siku hiyo sijasikia upuuuzi wa aina yeyote.
 
True ukishaanza mbio kwa waganga utawamaliza wote na utopata solution.
Huwezi logwa kama wewe una positive power.Dunia kuna nguvu mbili hasi au chanya unachagua ipi utembee nayo.Nguvu ya
Uchawi haupiti ukiwa positive power SAwa na umeme kwenye plastic au mbao unakosa connection,ila ukiwa mshirikina au nguvu hasi utarogwa hadi ukome.
Wengine tumelogwa tungali tumboni hadi leo tunarogwa lakini tupo imara hatulogeki sababu ya positive power.
🙌🙌🥰
 
Tafuta Watu/mtu yeyote aliyemwamini Yesu na kuokolewa aje kukufanyia maombi ndani ya nyumba yako! Hutawasikia tena wakikaribia bali utawasikia mtaani wakisema kuwa huyo jamaa ni moto wa kuotea mbali.
Hakuna uchawi wala uganga mbele ya Yesu Kristo!
Amen 🙏
 
Mimi napiga bangi balaa kwa hiyo hawa wajinga watakuwa wananipita kushoto

Nilikuwa kwa Yesu masharti yakawa magumu yakanishinda nikatoka huku kwa waganga bado sijakutana na shida kubwa ya kunishinda hadi kwenda huko bado nipo kati kati
Nadhani hukumpata kiukamilifu!
Yesu akiwa ndani yako huachilia nguvu na maarifa ya kushinda kila kitu unachokiona kinaleta ugumu ndani yako!!
Nadhani ulikuwa kwenye dini,ungeamua kumpokea Yesu kikamilifu usingeona kuwa kuna Masharti yoyote!!
 
Nakushauri achana na hiyo dhana mara moja, yawezekana usione madhara yake mapema, ila unaweza kuwasababishia wanao matatizo makubwa sana

Okoka , mchawi anamuogopa saana mcha Mungu wa kweli, huwa hasogei hata kidogo, kila akisogea anauona moto kali sana, wekeza kwa Mungu tu
 
Nadhani hukumpata kiukamilifu!
Yesu akiwa ndani yako huachilia nguvu na maarifa ya kushinda kila kitu unachokiona kinaleta ugumu ndani yako!!
Nadhani ulikuwa kwenye dini,ungeamua kumpokea Yesu kikamilifu usingeona kuwa kuna Masharti yoyote!!
Tatizo hataki nizini na mimi kwa utelezi huniambii kitu nikakuelewa
 
Nonsense! Una udhibitisho gani kua mchungaji mapadre au mashekhe ndio wanawaweza wachawi, kwa grounds zipi embu fafanua kwa undani zaidi with vivid examples i mean real examples

Sent using Jamii Forums mobile app
It's nonsense as long as you highly believe in witchcraft and witch doctors. You can't believe in what I advise nor see the power in the name of the Lord. Carry on with your beliefs, hence questioning the might of the God's power over demons, witchcraft and all those believe in it.
 
Nakumbuka mm nilipo hamia tu kwenye kibanda changu wakaanza mambo ya kipuuzi mara usikie kitu km kimetua batini..mara mchanga umwagike juu ya dari.Siku moja nikaona hawa wasenge wamezidi nikatoka na boksa tu nilitukana wale wasenge matusi yote unayoyajua plus mikwara ya nguvu ..kua nikiamua kwenda nyumbani mtaani hakutabaki mtu ila hayo mambo mm sitaki sasa endeleeni na upuuzi wenu mm namwachia Mungu .Tangu siku hiyo sijasikia upuuuzi wa aina yeyote.
Hii mbinu ya kivita😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom