Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Kuna anachofanya nyuma ya pazia ndugu yangu watu wa rohoni walikuwa hao manabii
 
Its also nonsemse to believe opposite of what you believe..umezaliwa umekuta imani tofauti, utakua na kichaa kulazimisha wengine waamini unachotaka waamini kwamba ndio kina manufaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sehemu yoyote umeona nimekulazimisha kuamini ninachoamini zaidi ya kutoa ushauri ambao mtu yuko huru kupokea au kutokupokea?
 
Polee Sana vip bado wanakusumbua
 
Sijui lakini nimekaa sumbawanga yote adi vijijini wilaya zote za Rukwa mpaka unatoboa Zambia watu wanavotuambia sumbawanga na uhalisia uliopo ni tofauti kabisaaa.
Yaani sumbawanga sijaona ukali wowote aiseee.wa uchawi bado sanaa labda ule wa radi tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee na zawadi ya tende juu .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee na zawadi ya tende juu .
Yule dada alilalamika sana kuwa alilala sebuleni akakuta katiwa na jamaa lilimwaga mbegu za haja na kumuachia tende juu ya meza asubuhi shahawa zinamtoka tu
 
Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
Kwa kakobe
 
KUZINDIKA nyumba ni kufanya dawa ya kukinga nyumba isipatwe na uchawi na majini wachafu pia wasiweze kuingia ndani ya nyumba unapo ishi ndio kuzindika. Kwa kifupi kuikinga nyumba dhidi ya wachawi,majini na wezi pia.
Ukisema majini wachafu maanake kuna majini wasafi??
 
Yule dada alilalamika sana kuwa alilala sebuleni akakuta katiwa na jamaa lilimwaga mbegu za haja na kumuachia tende juu ya meza asubuhi shahawa zinamtoka tu
Je shida ilikuwa ni hilo zindiko ama?
Je baada ya hapo nyumba uliifanyaje ili wapangaji wasisumbuliwe tena yaani ulilimalizaje
 
kwakua mganga ni Yesu basi watu wakiumwa malaria, presha, kisukari na magonjwa mengineyo hamna haja ya kukuona wewe the so called daktari. Yesu ana nafasi yake na vitu vingine vina nafasi yake. Wewe mwenyewe na udaktari wako unahudhuria sana kwa waganga.
 
Ukisema majini wachafu maanake kuna majini wasafi??
Ndio kuna Majini wazuri na majini wabaya majini wazuri hawadhuru watu tunaishi nao katika hii dunia. Na hata katika majumba yetu tunaishi nao wao ni viumbe kam sisi wameumbwa na Mungu kuishi katika hii dunia wao walianza kuumbwa kwanza kabla ya sisi Binadamu wanatuona lakini sisi hatuwaoni .
 
Je shida ilikuwa ni hilo zindiko ama?
Je baada ya hapo nyumba uliifanyaje ili wapangaji wasisumbuliwe tena yaani ulilimalizaje
Nilichofanya kwanza nikitoa karibu udongo wote wa sehemu niliyozika hicho kichupa na kwenda kuutupa. Maana ilikuwa kila mara malalamiko.
 
Nilichofanya kwanza nikitoa karibu udongo wote wa sehemu niliyozika hicho kichupa na kwenda kuutupa. Maana ilikuwa kila mara malalamiko.
Huyo mganga ndo alikufanyia ushenzi ili urudi kwake tena.pole mkuu ndo ukubwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…